Quantcast
Channel: Latest Jobs, Career Advice & Education Tips in Africa - Africawebposti
Viewing all articles
Browse latest Browse all 210

MKAGUZI WA HESABU DARAJA LA II (AUDITOR GRADE II) - Nafasi ya kazi wazi MDAs & LGAs | Jobs in Tanzania

$
0
0
POST: MKAGUZI WA HESABU DARAJA LA II (AUDITOR GRADE II) - 5 POST
POST CATEGORY(S): ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION DEADLINE: March 03, 2020


JOB SUMMARY
NA


DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi maalum na mapato ya Serikali;

ii.Kushiriki kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mpango wa kazi za ukaguzi wa kila mwaka;

iii.Kushiriki kufanya tathmini ya mpango wa kazi na kupendekeza mabadiliko inapobidi kulingana na tathmini ya taarifa ya utekelezaji wa mpango wa kazi;

iv.Kuhakikisha kuwa hoja na barua za ukaguzi zinatolewa na kushughulikiwa kwa wakati unaotakiwa;

v.Kushiriki, kutayarisha na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit Programme);

vi.Kushiriki kupanga na kuratibu mpango wa kazi za ukaguzi;

vii.Kutayarisha hoja a barua za ukaguzi; na

viii.Kutunza daftari za kumbukumbu mbalimbali za hesabu katika kituo chake kwa maelekezo ya kiongozi mahali pa kazi.



QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Biashara au Sanaa yenye mwelekeo wa Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu (Advanced Diploma in Accounting) kutoka vyuo au taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali. Wenye uzoefu wa kazi za ukaguzi wa hesabu kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) watafikiriwa kwanza.

REMUNERATION: TGS.D



Viewing all articles
Browse latest Browse all 210

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>